Sunday, September 12, 2010

Mwandishi Raymon Owaman wa RFA na Stav TV augua gafla!

Mwandishi huyo pichani juu aliugua gafla nyumbani kwake maeneo ya Kashabo na kukimbizwa katika hospitali ya Mkoa Kagera jana jumamosi na hadi sasa amelazwa hapo.

Taarifa kutoka kwa ndugu zake ni kuwa ugonjwa unaomsumbua mwandishi huyo bado haujajulikana na kwamba alianguka na kupoteza fahamu

tutawajuza maendeleo ya mchapakazi huyo.

imetolewa na Chama cha waandishi wa Habari Mkoani Kagera(KPC)

1 comment:

  1. Tunaoungana na wanahabari wenzetu wa mkoa wa Kagera kutoa pole kwa kuugua ghafla kwa mwandishi mwenzetu Raymond Owaman na kupongeza hatua iliyochukuliwa na uongozi wa KPC kwa kutuma ujumbe huu kwa klabu zote nchini.
    Tutazidi kuwasiliana kwa kila hali sisi Shinyanga tumepokea taarifa hizi kwa huruma na tunajipangfa ili kuona tunaweza kusaidianaje katika kufanikisha matibabu yake ili afya yake iweze kurudia kama awali.
    Poleni sana Kagera

    ReplyDelete